Kuna tofauti kubwa katika kujua jinsi ya kutumia, yaani kutoa #bunduki au #bastola yako, NA kujua jinsi ya kupigana nayo.

Nadhani popote ulipo kuna vituo vingi kuruhusiwa kufundisha #ujanja kuhusu bunduki! OK, #HapaUjanjaTu πŸ‘‡

www.5021.tips/ujanja/gunsafety

πŸ‘†
Ni maahabara tu, hatufundishi, lakini #inshaAllah, ukipata #wataalamu sahihi watakufundisha jinsi ya kushughulikia #silaha kwa usalama & kwa ustadi!

#firearmseducation #firearmstraining #gunsafety #guntips #5021tips #safety #usalama

Tatizo kubwa la IT limeathiri mabenki na mashirika ya ndege, media, mahospitali, mawasiliano na mifumo ya kiusalama kutokana na matatizo ya huduma za Microsoft kushindwa kufanya kazi duniani kote.

Kompyuta zote zinaonyesha BSoD'd (Blue Screen of Death) #Teknolojia #Usalama