Kuna tofauti kubwa katika kujua jinsi ya kutumia, yaani kutoa #bunduki au #bastola yako, NA kujua jinsi ya kupigana nayo.

Nadhani popote ulipo kuna vituo vingi kuruhusiwa kufundisha #ujanja kuhusu bunduki! OK, #HapaUjanjaTu 👇

www.5021.tips/ujanja/gunsafety

👆
Ni maahabara tu, hatufundishi, lakini #inshaAllah, ukipata #wataalamu sahihi watakufundisha jinsi ya kushughulikia #silaha kwa usalama & kwa ustadi!

#firearmseducation #firearmstraining #gunsafety #guntips #5021tips #safety #usalama