Kuona saizi, uzito, mfano 8 Byte, haimaanishi kuwa unayo data sahihi! Ni uzito tu, lakini sio data๐คท!
Imagine hiyo data, bits zimejipanga jinsi ilivyo a๐ค, kumbe ulitaka data yenye mpangilio wa bits za d! Uzito ni ule ule but data tofauti, seen?!
Hizi #programmingtips in fact #codingtips ni kama rubbish๐
www.5021.tips/ujanja/eepromwork
๐
Ni wewe tu ku #teachyourself #ujanja wa #coding hizo #digitalelectronics #ProgrammingMadeEasy juu #HapaUjanjaTu #ECUProgramming #5021tips #techtipsandtricks