Hebu fikiria🤔, nina deni lako la $5, nikikupa $4.8, unaweza kukubali🤷♂️!
Kwa hivyo, nyuma ya mapazia, ufunguo unaweza #keyprogramming kukamilika kwa mafanikio, lakini mashine inakuonyesha ujumbe sahihi, ingawa si kweli🫣!
https://www.5021.tips/ujanja/keyprogramming
Kwa hivyo, kabla ya kuanza kulia, jaribu kivitendo ku test, #inshaAllah the key could be #mashaAllah #HapaUjanjaTu #jifunze #howitsdone #ecurepair #howtorepair #repairtips #5021tips #autotips #diy












