Tatizo kubwa la IT limeathiri mabenki na mashirika ya ndege, media, mahospitali, mawasiliano na mifumo ya kiusalama kutokana na matatizo ya huduma za Microsoft kushindwa kufanya kazi duniani kote.
Kompyuta zote zinaonyesha BSoD'd (Blue Screen of Death) #Teknolojia #Usalama







