Kwa #teknolojia hii ambayo inasasishwa, inabadilika kila siku, utaona kwamba kazi nyingi za #Kiufundi zinahitaji wewe kucheza na #EEPROM!
Haya mambo hayafundishwi katika #shule, kwa hivyo #Jiamini, #UsikateTamaa, yaani usifikirie kwa sababu haukuenda shule, kwamba huwezi kufanya #ujanja huu!

#5021tips tunatoa kwa uwazi mbinu zote!

On www.5021.tips/ujanja/tryeproms kuna programu tumekupa ufanye mazoezi!

#EEPROMwork #HapaUjanjaTu
#ProgrammingTips #jifunze #DiY