Unavyojua, hii #electroniccomponent, crystal oscillator ni moja kwa mfumo husaidia #kompyuta infact #microprocessor🫣, kudhibiti wakati, kujua wakati wa kuwasha au kuzima mifumo fulani!
Kwenye 👉 www.5021.tips/ujanja/ecu 👈kuna taka taka yoote, ukitaka unaeza kuharibu muda ku visit🤷 uongeze kwa #ujanja wa #ECUrepairs!
Anyway, hizi #electroniccomponents zikiwa shida, moja kwa dalili ni kuchelewa kwa utendakazi fulani ikiwemo #enginemisfire, #checkengine za uongo kuonesha #sensors, #actuators
