87 Followers
115 Following
106 Posts
Lecturer wa Gumbaru
Ka hunitambui sikutambui
Movies and series lover
@wonderfulmbanda Bana alafu nikiwafollow back napata kama waser wote wanaitumia
@wonderfulmbanda Nishamaliza kumove followers hadi
@wonderfulmbanda Sasa niwahamishe aje๐Ÿ˜‚
Ni kubad wadau hii ni kama itaenda nirise Tena upya๐Ÿ˜ข
@kiokopas Bana naona wewe ni kizungu tu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Nimeona Kuna walami wananifollow nitaanza kupublish na English sasa.So sad ๐Ÿ˜ข
Money is just part of the success but the real success is to fulfill your goals and make a change on the people who dire in need of help
@vetu_vetu Alafu sasa ukifika 100 unakuwa influencer unaanza kupewa gigs๐Ÿ˜‚
Kuinama nikaa ishakua kawaida kwangu๐Ÿ˜ช๐Ÿ˜ช
Nikiwa class Kuna msee aliweka Ile sound ya ngwati for about 5 minutes na Lec akaignore bana though kwetu ilikuwa inasound awkward.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚