Ni kubad wadau hii ni kama itaenda nirise Tena upya😢
@Not_Silly_ hamisha hao followers wako kabla account haijasonga.
@wonderfulmbanda Sasa niwahamishe aje😂
@Not_Silly_ unda account ingine alafu uform an alias nayo alafu move followers.
@wonderfulmbanda Nishamaliza kumove followers hadi