Ni kubad wadau hii ni kama itaenda nirise Tena upya😢
@Not_Silly_ hamisha hao followers wako kabla account haijasonga.
@wonderfulmbanda Sasa niwahamishe aje😂
@Not_Silly_ server ya expression iko na utiaji sana.
@wonderfulmbanda Bana alafu nikiwafollow back napata kama waser wote wanaitumia