ONYO: Hapa tunaenda pole pole, kwanzia chini kabisa, hakuna hiyo blaa blaa ya kwamba hukwenda shule na hutaelewa, hapana! Hizo sijui huna umri fulani so haitawezekana, hapana! Infact, wewe ukijiona wa juu, tafadhali usijiunge kwa na #ujanja hu wa #ECUprogramming, bust especially physical #ECUrepairs!

👉 www.5021.tips/ujanja/ecu 👈

Anyway, kusudi kuu la huu unjanja ni kukumbushana au kufundishana uteuzi mpana wa mbinu zinazotumika kwa moduli au #ECU

#ECUrepair #ECUtuning
#5021Tips #RepairTips