Nimpee manzi yako lift na skygo alafu nijitetee akubali,ebu ona tools
Yule beshte wenu amefikiwa😂😂
Kwani app kwani ni ya mkisii coz na logout najipata login bila ata kufikiria eeiish😂
Watu wengine uku anajifanya hawezi follow backðŸ˜
Me after a few meters Toka kwangu na hio upepo na vumbi😂