Kwani huku hakuna watoto wamelala thread😂😂
Hawa waliamua ni draw kwa kila game jameni
I see my Kenyan peeps are addicted to this app 😂🤝 nicely done
Unauliza mtu ka amepata doh umemtumia anakuuliza kwani imekuletea jina gani💔
Ukiona followers wako wote na verification na we hauna 😭😂
Kina osama wakikuja huku wapate small wigs wako verified😂😂
You can make one statement and have 10 people think you talking bout them that’s why I love social media 😂😂💯