😂😂😂
@Lastking 😂 😂 😂 😂
@Wainaina 😂😂
@Lastking huku nikama tutakuwa tunapost memes kama status za WhatsApp before watu wamalize kukuja 😂
@Wainaina huku sioni kama watakuja kweli
@Lastking @Wainaina Watakuja tu with time. Hizo privileges zenye huwezi enjoy usiponunua verification kule Twitter zitahamisha watu Mastodon