Hii kitu haina DM? Tutakuwa tunaslide wapi jameni
@Lastking nilikuwa kwa @fridah kutafuta iyo option but then, ni urimo πŸ˜‚
@Lastking πŸ˜‚πŸ˜‚ni vizuri at least hakuna kusikia Dms zimeleak
@Orinavic wueh lakini sasa wanafanya kazi ikuwe ngumu
@Lastking waah eti uku labda mslide kwa commentsπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚