Namna gani huku
@Lastking huku ni kujiongelesha tu but we wait
@Wainaina noma bana, ata kuchange hio handle itoke izo ma @ mastodon inanilemea haha
@Lastking I think hiyo shit haitoki πŸ˜‚πŸ˜‚nimekuwa nikijaribu but inainekana tu na ukiangalia account yako but mtu mwingine akiangalia haiyuko
@Wainaina ooh yenyewe basi
@Lastking maybe wataimprove with time πŸ˜‚ iwache kukuaa nyumba ya single.
@Wainaina πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚