Huyu anataka nipee chai ju alilala kwangu 😂😂😂itabidi akae njaa ju sasa hii tabia sipendi😒
@kadinya
kwani ye ni orphan
@one_karuoya mjamaa alichunjwa na mzae wake ju alipatikana akivuta bangi🤦🏾‍♂️