Kwani rada ya Twitter nowadays men nimeingia tu nikaboeka nikatoka nikakuja huku bana
@Not_Silly_ huku kuko sawa lakini bigwigs wa twitter wanaona moto huku 😂😂
@stacey_cruz_ Acha masmall wig tutese huku 😂