Hii corner ya kuingia Australia karibu ituuwe bana, airways team nikama walikuwa wamelala bana
@szn niko apa nyuma yako bro, mi ata imeniua
@TJay nimeskia nduru yako kumbe ni wewe
@szn eeh lakini nilidhani umeachana na wamama ama uyo ni mamako apo?
@TJay mwenye tickets kumamaye😂