Bigwig hii app ni msee amegonga 200 followers haha
@alhajj nani huyo,?
@szn Sijui hayuko Kenya huyo 😂
@alhajj huko kwako Niko na followers wangapi
@szn 199 bro ata ni ww +1 tu
@alhajj kwangu niko 236😂
@szn Hii app ni scam basi
@alhajj @szn simu yako ndo scam😭💔💔
@youscrewh @alhajj zii ni juu amejoin saa hii
@szn @youscrewh Mm kwako niko ngapi?
@szn @youscrewh Na niko 26 hapa weuh
@alhajj @szn angalia mm😂
@szn @alhajj 🤸‍♂️🤸‍♂️kapsaa
@youscrewh @alhajj kwako inasema niko wangapi