Mtu aambie ile map work ya sosho studies ikuje rematch sikua ready back then😅😂
@kajiado_niccur siett hiyo kitu ilinichanganya bana 😂
@gordon Nakumbuka uyo mwalimu akinipararisha mabega na viboko😭😅