Kwani Nairobi watu wamefika wapi na maisha!Jana jioni nmebuy mwiko buana nkapika nayo ugali sahii nkiosha asubuhi naona "Sunrise 1947-Sunset 2019" Kwa hyo mwiko tu!