https://archive.org/details/mzee-kikwazo

Majuto ya Mzee Kikwazo by Leah Mgonja; Robert Kambo

Topics
#Kiswahili, #epidemiki, #ugonjwa, #afya, #ngano, #hadithi

"Vitabu vya Sayari vimetungwa kwa lengo la kuwawezesha wanafunzi katika Afrika Mashariki kujifunza lugha ya Kiswahili. Lugha iliyotumiwa ni ya kuvutia na hadithi ni za kuburudisha.

Kijiji cha Wasiojua kinajipata katika masikitiko. Watu wameanza kupofuka. Wataalamu wanashauri hatua fulani zichukuliwe ji kumaliza janga hili. Wanakijiji wanaanza kuzingatia mapendekezo ya wataalamu. Hata hivyo, kuna mzee anayekataa katakata kuufuata ushauri wa wataalamu. Je, Mzee Kikwazo ataweza kujinusuru kutokana na shida zilizoko kijijini mwao? Bila shaka hadithi hii itakufunza mengi."

Majuto ya Mzee Kikwazo : Leah Mgonja : Free Download, Borrow, and Streaming : Internet Archive

Vitabu vya Sayari vimetungwa kwa lengo la kuwawezesha wanafunzi katika Afrika Mashariki kujifunza lugha ya Kiswahili. Lugha iliyotumiwa ni ya kuvutia na...

Internet Archive
Handelsblatt: Nach Jobkahlschlag bei Gruner + Jahr: Bertelsmann erzielt Rekordumsatz

Bertelsmann überschreitet erstmals die Marke von 20 Milliarden Euro Umsatz. Konzernchef Rabe kann mit den Zahlen jedoch nicht über die Probleme des Unternehmens hinwegtäuschen.
Nach Jobkahlschlag bei Gruner + Jahr: Bertelsmann erzielt Rekordumsatz
Nach Jobkahlschlag bei Gruner + Jahr: Bertelsmann erzielt Rekordumsatz

Bertelsmann überschreitet erstmals die Marke von 20 Milliarden Euro Umsatz. Konzernchef Rabe kann mit den Zahlen jedoch nicht über die Probleme des Unternehmens hinwegtäuschen.

Handelsblatt

https://archive.org/details/kamusi-ya-tiba

Kamusi ya Tiba by A.M.A. Mwita; H.J.M. Mwamsoko

Topics
#Kiswahili, #tiba, #kamusi, #Kiingereza, #afya, #sayansi, #fiziolojia

"Kamusi ya Tiba ni chapisho la aina yake katika Kiswahili linalohusu fani ya tiba."

Kamusi ya Tiba : A.M.A. Mwita : Free Download, Borrow, and Streaming : Internet Archive

Kamusi ya Tiba ni chapisho la aina yake katika Kiswahili linalohusu fani ya tiba.

Internet Archive

https://archive.org/details/huduma-za-afya

Huduma za Afya na Utunzaji wa Watoto by V.P. Kimati

Topics
#afya, #hudumazaafya, #watoto, #utunzajiwawatoto, #maendeleoyamtoto, #elimuyauzazi, #magonjwa, #ugonjwawasurua, #utapiamlo

Dar es Salaam: Tanzania Publishing House. Chapa ya Kwanza

Huduma za Afya na Utunzaji wa Watoto : V.P. Kimati : Free Download, Borrow, and Streaming : Internet Archive

Dar es Salaam: Tanzania Publishing House. Chapa ya Kwanza

Internet Archive