Taarifa za kitaalamu #techinfo tunazojaza hapa, hazitoki kwa vichwa vyetuπ€·! Tunapata, na bure, kutoka #mtandaoniπ§!
Naaam, #jazakAllah, tunakuonyesha hata jinsi na wapi kuipata, #diy mwenyewe, #inshaAllahπ
www.5021.tips/ujanja/datasheets
βοΈπ
Usiogope #digitalelectronics, #ecurepairs!
#HapaUjanjatu, kusudi letu #5021tips ni kukufanya uwe nadhifu, #mjanja, mwenye #ujanja, #ubunifu, utatue shida ili kuifanya dunia kuwa bora kwako na sisi, waleviππ




