Usiwaze namna moja tu! Katika baadhi ya #magari uwe tayari kugundua kuwa Moduli ya kudhibiti gia boxi #TCM haipo tofauti mahali pengine kwenye gari, unaezakuta imeunganishwa moja kwa moja na (C) ya valvu bode🤷♂️!
https://www.5021.tips/ujanja/ec
Huu upuzi wetu ni kuamsha tu, kukufungua kichwa kwa mambo mambo ya #automotiveelectronics #autoelectronics #HapaUjanjaTu #jifunze #ecu #repairtips #5021tips #techtips #repairtips #diy #Autoelectricalrepair #AutomaticTransmission











