Umeme ni mwingi sana kwenye hizi aina #magari, #hybridvehicles! Alafu #HapaUjanjatu juu kuizima #switchoff au kukata muonganisho wa betri ndogo ya volti 12 hakukatishi huo umeme mwingi🫣!
https://www.5021.tips/ujanja/hybrid
Namna ulielewa👆 kuna plagi ya MSD, lugha yao #waJaLuo #waHaya ni Manual Service Disconnect blaa bla, hutumika kama swichi ya hutenga betri ya volti nyingi kutoka kwa mfumo mwingine wote wa gari ili ufanye #HybridRepair #repairtips #5021tips #autorepairtips #jifunze #autoelectrical


