Jinsi tulikumbushana, #ujanja wa hizi VIZIMA, yaani silencers za #bunduki ni kwa kupunguza hatua kwa hatua pressa na kasi ya gesi inaokujia nyuma ya risasi...
...ili, wakati inapotoka nje, kwenye mdomo wa bunduki, usambazaji wa vibration ya gesi hizi hupitishwa ndani yake hupanuliwa, kupunguzwa.
Ndani kwenye hicho ki silencer kuna vyumba vyumba vya kupenyeza hiyo gesi👇
www.5021.tips/ujanja/gunsafety
Naam, #HapaUjanjaTu, #KNOWujanjaNOujanja🤷 #firearms #firearmstips #guntips #5021tips
