https://archive.org/details/fasihi-simulizi

Fani ya Fasihi Simulizi kwa Shule za Upili by Assumpta K. Matei

Topics
#fasihisimulizi, #Kiswahili, #shuleyaupili, #fasihi, #malezi, #vitabuvyarejea

"Fani ya Fasihi Simulizi kwa Shule za Upili kimeandikwa kwa lengo la kumfafanulia mwanafunzi tanzu na vipera vya fasihi simulizi kwa njia angavu na nyepesi.

Muhitaji yote ya silabasi ya shule za upili yameshughulikiwu kwa kina.

Mada zimejadiliwa kwa lugha rahisi na mifano anuwai ya uchanganuzi kutolewa.

Yapo maswali yaliyotolewa mwishoni mwa mada. Maswali haya yanatahini stadi zote za ufumbuzi. Mwishoni mwa kitabu kumetolewa majibu ya baadhi ya maswali ya mazoezi."

Fani ya Fasihi Simulizi kwa Shule za Upili : Assumpta K. Matei : Free Download, Borrow, and Streaming : Internet Archive

Fani ya Fasihi Simulizi kwa Shule za Upili kimeandikwa kwa lengo la kumfafanulia mwanafunzi tanzu na vipera vya fasihi simulizi kwa njia angavu na...

Internet Archive

https://archive.org/details/chozi-la-heri

Chozi la Heri by Assumpta K. Matei

Topics
#Kiswahili, #riwaya, #fasihi

"Maazimio yasiyofikiwa yanazua hali ya kuvunjikiwa—kihoro hasa. Lakini baada ya kiza kizito huja mawio ya uzawa wa jamii mpya yenye matumaini."

Chozi la Heri : Assumpta K. Matei : Free Download, Borrow, and Streaming : Internet Archive

Maazimio yasiyofikiwa yanazua hali ya kuvunjikiwa—kihoro hasa. Lakini baada ya kiza kizito huja mawio ya uzawa wa jamii mpya yenye matumaini.

Internet Archive

https://archive.org/details/Kusadikika

Kusadikika: Nchi Iliyo Angani by Shaaban Robert; Ruth Yudelowitz

Topics
#Kiswahili, #hadithi, #fasihi, #fasihiyaKiswahili, #fasihiyaTanzania

"Kusadikika ni nchi ambayo kuwako kwake hufikirika kwa mawazo tu."

Kusadikika: Nchi Iliyo Angani : Shaaban Robert : Free Download, Borrow, and Streaming : Internet Archive

Kusadikika ni nchi ambayo kuwako kwake hufikirika kwa mawazo tu.

Internet Archive