Ikiongozwa na mafundisho ya Audre Lorde kwamba hatuishi maisha ya suala moja, kampeni itaangazia na kupakia picha na hadithi kutoka kwa ukombozi wetu wa pamoja katika undani wake wote – kutoka Sudan hadi Palestina; haki ya uzazi kwa haki ya hali ya hewa na zaidi!
https://whoseknowledge.org/swa/visiblewikiwomen-2024/
#VisibleWikiWomen 2024 - Whose Knowledge?
Karibu kwa makala ya #VisibleWikiWomen 2024! Katika mwaka wa saba wa kampeni, sisi na washirika wetu tunakualika kumiliki ulimwengu wa kidijitali kwa kupakia picha zilizo na leseni wazi za wanafeministi, wanawake kuchu, watu wa jinsia ya walioghairi uwili, na wanawake wajenga amani, wanaharakati, wasanii na watunza kumbukumbu ambao bila kuchoka wanafanya kampeni dhidi ya vita, mauaji ya kimbari na migogoro.