Please post this on the Reddits okbuddyrosalyn and ithinkyoushouldleave and just credit me as "Babble Encat from Mastodon"

#CalvinAndHobbes #IThinkYouShouldLeave #TurboTime

Umhimu wa #TurboTimer kuhakikisha kwamba injini #Engine inaendelea kuaka, yaaani kuguluma, kwa muda mfupi baada ya ufunguo kuzungushwa kuizima, #switchOFF

Huu #ujanja ni wa kuruhusu mafuta #EngineOil kuendelea kutiririka kupitia #turbocharger wakati inapooza, kuondoa joto🥺!

#dereva akiwa #mjanja, akitaka kupaki #gari ikiwa bila hizi blaa blaa #turbotime gari inaiaacha kwa mda🤷!

#Knowyourcar #dieselcar #dieselpower #jifunze #magari #HapaUjanjaTu #DoitYourself #DiYtips #cartips #5021tips