Je, unajua kwamba miunganisho (X) #USB, ama #Bluetooth ( Y) vinaweza kusababisha usumbufu fulani wakati unafanya uchawi #keyprogramming ama #ECUprogramming, nk🤷♂️!
Naam, pamoja na kushindwa kazi, inaezakorofisha data, ama "kuharibu" moduli yenyewe🫣!
https://www.5021.tips/ujanja/ecudata
Hata ujinga, mfano muziki, video, programu, n.k., kwenye mashine, vinaweza pia ku kuloga #ecu😜#HapaUjanjatu #jifunze #5021tips #howitsdone #dpf #egr #adblue #immoff #immooff #lostkey



