https://archive.org/details/kutongwa-kwadedan-kimathi

Kutongwa kwaDedan Kimathi by Mĩcere Gĩthae Mũgo; Ngũgĩ wa Thiong'o; I. K. Takawira

Topics
#chiShona, #DedanKimathi, #Kenya, #tiyeta, #nhoroondo

ZPH Plays for Schools Series

Kutongwa kwaDedan Kimathi : Mĩcere Gĩthae Mũgo : Free Download, Borrow, and Streaming : Internet Archive

ZPH Plays for Schools Series

Internet Archive

https://archive.org/details/mzalendo-kimathi

Mzalendo Kimathi by Mîcere Gîthae Mũgo; Ngũgĩ wa Thiong'o; Raphael Kahaso

Topics
#DedanKimathi, #MauMau, #Kenya, #Milkiyauingereza, #Milkiyabritania, #ukoloni, #tamthilia, #tamthiliya, #kujikomboakitaifa, #vita, #historia, #historiayaKenya, #Kiswahili

"Yamesemwa na kuandikwa mengi juu ya kiini cha mapambano ya Mau Mau na vikosi vya Wakoloni Waingereza. Lakini je, kiini hiki kimezungumiziwa vya kutosha katika fasihi ya Kenya? Ni kwa nini fasihi hii imewadunisha wazalendo na kuwafanya wasioweza kuiunda historia yao? Kwa nini waimbaji wetu Kenya hawajapata kuimba nyimbo za kuwasifu mashujaa kama Dedan Kimathi na ujasiri wao? Historia na matendo waliyoyaandika wanahistoria na waandishi wengine ni vya nani?"

Mzalendo Kimathi : Mîcere Gîthae Mũgo : Free Download, Borrow, and Streaming : Internet Archive

Yamesemwa na kuandikwa mengi juu ya kiini cha mapambano ya Mau Mau na vikosi vya Wakoloni Waingereza. Lakini je, kiini hiki kimezungumiziwa vya kutosha katika...

Internet Archive